Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
13 Reactions
74 Replies
1K Views
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli YEHOVA kama...
1 Reactions
22 Replies
132 Views
Hawa watu kwao mpira ni kama Nini sijui maana Kila mechi viwanja vinafurika tena pomoni hata kama kombe halipatikani. Nadhani mpira una tafsiri nyingine Ujerumani ,lazima siku Moja niwe pale...
0 Reactions
3 Replies
48 Views
Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi. Mathalani, kwenye nafasi...
1 Reactions
13 Replies
202 Views
Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
1 Reactions
17 Replies
158 Views
Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu. Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa...
2 Reactions
17 Replies
290 Views
Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Bw David Kafulila kupitia kipindi cha DK 45 kinachorushwa na runinga ya ITV ameeleza kuwa Mwekezaji aliyewekeza kwa Ubia na Serikali ya Paul Kagame ya Rwanda kwa...
9 Reactions
64 Replies
897 Views
Balozi wa Marekani amesema ni dhambi na aibu kwa Nchi yoyote kuruhusu mtu mwingine yoyote bila kujali ni America, China au Pluto kuja Nchini kwako kuchukua Rasilimali zako kisha kutengeneza fedha...
1 Reactions
5 Replies
122 Views
Inamana hawa jamaa wali wa buku wanapunja hivi? Dah Ama kweli buku saiv si kitu.
5 Reactions
23 Replies
307 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,940
Posts
49,645,794
Back
Top Bottom