Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka. Tena kibaya zaidi Rais wa Norway...
19 Reactions
164 Replies
3K Views
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri. Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
6 Reactions
29 Replies
156 Views
Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa kero
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
134K Views
Ni mume wangu tuna watoto Huyu baba kazidi umaraya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini? Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
15 Reactions
78 Replies
1K Views
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
5 Reactions
28 Replies
561 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
20 Reactions
171 Replies
3K Views
Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm...
0 Reactions
5 Replies
61 Views
wakuu habar zenu? teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaid ya moja za mitandao tofauti, hii teknolojia nimeipa maua yake aisee, zaman nilikua nahangaika na kubadilisha line...
1 Reactions
1 Replies
4 Views
  • Suggestion
Tanzania inaweza kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira Kwa asilimia mia Kwa wasomi mpka wasio wasomi. Vitu vifuatavyo vinaweza badili Tanzania iwe ni soko la ajira milele. Uvuvi.mikoa yote yenye...
1 Reactions
17 Replies
184 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,814
Posts
49,699,990
Back
Top Bottom