Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
18 Reactions
215 Replies
4K Views
On point, kama familia yako huwezi kupata milo mitatu kwa siku hio familia ni duni au masikini, kwaio kama unajua kabisa wewe ni mchana na usiku tu ndio unapata chakula basi work hard my bro ili...
2 Reactions
4 Replies
55 Views
Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa watu wasio elewa wataona ni...
13 Reactions
41 Replies
904 Views
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi. Dickson Lucas Matata Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
8 Reactions
88 Replies
912 Views
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
9 Reactions
35 Replies
402 Views
Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
2 Reactions
7 Replies
269 Views
Nishawahi kuchangia watu 25 nnaowajua na ndoa 13 zishavunjika ndani ya muda mfupi tu hivi simuoe kwa siri kwa bajeti ndogo muache kusumbua watu. Basi mkioana msiachane ili mtupe moyo think...
6 Reactions
17 Replies
330 Views
Wakuu habarin! Nimejitaidi kufanya kazi kwa muda mrefu Sana mpaka nikafanikiwa kukusanya kiasi cha Million 2 ila nimeshidwa nifanye biashara gani. Wakuu mwenye wazo la biashara naomba anisadie...
10 Reactions
63 Replies
4K Views
Kuna chawa , kuna kada,kuna mwanaharakati ila politics ni kifo cha mende, au popo kanyea sinia la wali, politics upside down ,mjinga anajiita mwerevu,mwerevu anaitwa mjinga 🤣🤣🤣🤣, choicevariable...
2 Reactions
37 Replies
350 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,916
Posts
49,644,807
Back
Top Bottom