Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu si kwa ubaya! Mi natamani kujua hili swala,, Dini au iman fulan zimekua zikipokezana tangu dunia kuanza huja na kupotea. Dini hupotea kwa sababu ya kuja dini nyingine yenye nguvu au itikad...
1 Reactions
24 Replies
142 Views
Habari wakuu, Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
17 Reactions
80 Replies
2K Views
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
4 Reactions
38 Replies
317 Views
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
0 Reactions
14 Replies
188 Views
Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah...
2 Reactions
18 Replies
358 Views
INONGA: MKATABA WANGU UNAISHA 2024 NA SIO 2025 KAMA INAVYODAIWA "Mimi siujui huo mkataba wanaousema wao mimi navyofahamu ni kwamba Mkataba wangu unamalizika msimu huu na hivyo ndivyo ilivyo...
5 Reactions
21 Replies
326 Views
Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ...
0 Reactions
9 Replies
38 Views
Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini...
6 Reactions
37 Replies
264 Views
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee. Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
14 Reactions
55 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi. Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty. Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika...
9 Reactions
71 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,666
Posts
49,695,982
Back
Top Bottom