Nakumbuka JJ Mnyika na Jafo walipokuwa Vijana walipigania sana Uundwaji wa Baraza la Vijana la Taifa
Naomba Vijana wa Leo ifufueni Hoja ya kuwa na Baraza lenu lisilo na mrengo wa itikadi za Vyama...
Salaam, Shalom!!
Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti...
Habari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
WELCOME TO KENYA WHERE:-
1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home
2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce...
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua.
Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii?
Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu.
Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya...
Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.