Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo"
lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo
Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu...
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway...
USIJIINGIZE KWENYE MAHUSIANO UKIANZA KUONA DALILI HIZI
Na Comrade Ally Maftah
Changamoto nyingi zinawakumba watu kwenye mahusiano huwa dalili zinakiwa zimeshaonekana mapema tu.na dalili hizo ni...
Kabla hujasoma jua kua Nimecopy na kupaste kutoka twitter kwa @NikkiWa111
βͺοΈUkienda kwa Ex-Wako, usijiposti Msukuma
[Wivu] akaona.
The Story:
Muda huu nikiwa narudi kutoka mihangaikoni, naona...
Siamini eti ni mihemuko ya kihisia ndio inatufanya tu babaike na urembo wa mwanamke maana hata mwanamke mrembo anatamaniwa hadi na mwanamke mwenzake.
Tangu hii dunia ianze tumeona jinsi mwanamke...
Haijaelezwa sababu au vigezo vilivyotumika ila inajulikana kwamba zaidi ya 75% ya Watumishi wa Serikali wanapokea Mishahara chini ya Laki 5.Sekta binafsi Hali ni mbaya zaidi.
Kwa mazingira haya...
Huu ni ushamba mkubwa.
Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako?
Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.