Hii njia sasa imeshakuwa kero kwa wananchi. Haipiti siku bila kutokea ajali eneo la mzinga darajani mpaka kongowe. Wiki iliyopita lori lilifeli breki na kusomba wapita njia na kuwaingiza mtoni...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo
Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu...
Habari wakuu:
Nafanya biashara ya duka la rejareja yapata miaka 6 sasa mafanikio makubwa nimeyapata kupitia hii biashara hakika sijutii kuingia katika hii biashara.
Nakaribisha wana JF kushare...
Kama unataka kuwa Freelancer nafasi zipo za kutosha,jinsi ya kuomba fata maelezo bila kukosea.
1.Bonyeza Hapa
2.Kisha bonyeza Hapa jisajili.
3.Baada kujaza form zako vizuri Utapigiwa simu au...
Habari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
Haijaelezwa sababu au vigezo vilivyotumika ila inajulikana kwamba zaidi ya 75% ya Watumishi wa Serikali wanapokea Mishahara chini ya Laki 5.Sekta binafsi Hali ni mbaya zaidi.
Kwa mazingira haya...
Kabla hujasoma jua kua Nimecopy na kupaste kutoka twitter kwa @NikkiWa111
βͺοΈUkienda kwa Ex-Wako, usijiposti Msukuma
[Wivu] akaona.
The Story:
Muda huu nikiwa narudi kutoka mihangaikoni, naona...
Huu ni ushamba mkubwa.
Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako?
Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.