Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu, Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
17 Reactions
74 Replies
2K Views
Haijaelezwa sababu au vigezo vilivyotumika ila inajulikana kwamba zaidi ya 75% ya Watumishi wa Serikali wanapokea Mishahara chini ya Laki 5.Sekta binafsi Hali ni mbaya zaidi. Kwa mazingira haya...
0 Reactions
4 Replies
21 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu...
4 Reactions
60 Replies
448 Views
Nadhani itakua ni nchi ya kwanza duniani kufanyiwa huu mchezo ndani ya White House. Poleni sana majirani huu mtego mlioingia hamchomoki.
12 Reactions
50 Replies
967 Views
Huu ni ushamba mkubwa. Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako? Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu...
1 Reactions
15 Replies
140 Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
34 Reactions
191 Replies
6K Views
Yanga wamemtafutia lishangazi moja . To stimulate Aziz Ki to stay . what a great move . Pisi ina mimba ya aziz kii , soon anakuwa na mcheza mpira wa next generation . We wait . Will he stay...
3 Reactions
11 Replies
535 Views
Wadau, kama nilivyosema hapo juu. Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man". Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola. Sasa nimewaza, kutungua kitu show room siwezi. Kumvua...
11 Reactions
35 Replies
1K Views
Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo" lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC...
7 Reactions
41 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,518
Posts
49,693,217
Back
Top Bottom