Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni LHRC...
2 Reactions
17 Replies
165 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
370 Replies
22K Views
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
5 Reactions
17 Replies
343 Views
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja Wala...
1 Reactions
9 Replies
10 Views
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward. Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua. Gari ya kazi...
7 Reactions
17 Replies
156 Views
  • Suggestion
Mikopo rahisi na rafiki ni miongoni mwa njia bora kabisa inayo weza kuwainua watanzania wengi hasa vijana kwa kutoa fursa ya kupata mitaji na kuwezesha ndoto,ubunifu ,ujuzi na vipaji mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko...
6 Reactions
28 Replies
676 Views
Nataka kumnunulia mpenzi wangu pedi ila sijajua ipi ni bora zaidi.
5 Reactions
51 Replies
484 Views
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti. Tuambie na namna ya kuzipata. Mfano: Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
1 Reactions
7 Replies
128 Views
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025...
4 Reactions
13 Replies
120 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,079
Posts
49,681,136
Back
Top Bottom