Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Siku ya leo ni balaa . Vichwa vingi vinawaza uzinifu tu. Bora hata uwe busy ukiwa jobless ni kama unabeba na upwiru wa wenzako unakutesa kinoma kisha huna hata buku tatu ukachungulie mitaa ile ...
8 Reactions
31 Replies
482 Views
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
28 Reactions
1K Replies
75K Views
Alimkosoa sana hayati JPM. Lakini sasa amekaa kimya huku ufisadi ukiwa umetamalaki kila kona Makunyanzi tu na roho mbaya
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
16 Reactions
141 Replies
3K Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
369 Replies
22K Views
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja Wala...
1 Reactions
3 Replies
7 Views
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward. Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua. Gari ya kazi...
6 Reactions
12 Replies
156 Views
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025...
3 Reactions
11 Replies
120 Views
Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke. Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake. Tangu mama ameshika nchi...
6 Reactions
84 Replies
513 Views
Baada ya kutawazwa kama mabingwa wa ligi kwa mara 30 nchini Tanzania, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kumenyana na Dodoma Jiji. Ikumbumbwe katika mchezo wa...
8 Reactions
184 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,076
Posts
49,681,064
Back
Top Bottom