Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja
Wala...
Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la...
Pamoja na Aziz Ki kufunga, bado hakukuwa na jitihada na mikakati ya dhati kumtengenezea mazingira ya kufunga zaidi. Dodoma FC walipoteana jumla lkn wachezaji wa Yanga walionekana kuridhika na...
Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya...
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni
LHRC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.