Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK. Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)...
17 Reactions
176 Replies
6K Views
  • Sticky
MASWALI YALIYOULIZWA NA BAADHI YA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Mambo vipi? Nina Tatizo la Kutoa shahawa mapema Sana ndani ya dakika 1 tuu then bao la pili napiga dakika 10 -- 15. Nimejaribu kutumia...
10 Reactions
266 Replies
224K Views
Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini...
3 Reactions
52 Replies
707 Views
Nimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili...
5 Reactions
12 Replies
321 Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
8 Reactions
152 Replies
2K Views
1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki: 2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko. 3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa...
2 Reactions
23 Replies
488 Views
Wakazi wa Mbagala Mzinga Wamefunga barabara ya kutoka Dar kwenda Mikoa ya kusini kwa madai ya kuchoshwa na ajali kwenye eneo lao, jambo hilo limesababisha foleni kubwa ya Magari. Jambo hilo...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
17M Views
Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa. Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wasaalam. Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25. Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu...
3 Reactions
4 Replies
38 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,742
Posts
49,639,495
Back
Top Bottom