Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema lilitokea tatizo kidogo kwa michango inayopitia M Pesa lakini tatizo hilo limeshatatuliwa hivyo michango inaendelea kupokelewa
Hadi sasa...
Wakuu.. naomba mtu anayezifahamu courses zote za masters zinazopatikana UDSM ndani ya "College of Agriculture Science and Food Technology".
CoAF.. itapendeza ukiorodhesha hapa au kutumia PDF kabisa
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex.
Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja.
Mechi hii itapigwa...
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.
This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana...
Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini...
kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.