Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
Some people are just lucky sio kwamba eti wametoka kwenye familia tajiri au yenye kusapotiana au nchi iliondelea au labda ni juhudi zao, hapana au ni wezo mkubwa wa kiakili, ni basi tu kila...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Chanzo: Adobe Stock
UTANGULIZI:
Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo...
Hakika wananchi wa Burkina Faso wanabubujikwa na machozi kwa rais mzalendo waliyenpata🙂.
Ndani ya muda mfupi Ibrahim Traore ameonyesha kwa vitendo nia yake ya kuikonboa nchi yake kutoka kwenye...
Leo Mei 21, 2024, JKT Tanzania itacheza mchezo wake dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni.
KIla timu inapambana kutetea nafasi yake lakini zaidi Azam wakitafuta kusalia...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan alikuja na mpango kabambe na uliokonga na kugusa mioyo ya mamilioni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.