Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka
Ziko wapi?
Zilifika salama...
Habari Wakuu!
Hali ni tete. Maji ya shingo pûa kwenye Ukingo wa maji.
Wanawake wengi huku mtaani wanapumulia mashine. Ingawaje wanajitutumua làkini hakuna matumaini ya kuchomoza,
Kula kwa jasho...
Wakuu Heshima mbele.
Usiku huu nimetoka kuongea na Polisi mmoja Kanda ya kusini na ana cheo.
Anasema hivi Polisi kwa sasa wana mkongo wao, hivyo maombi yanafanyika katika vituo vikubwa vya...
Wana MMU kuna historia nyingine za Mapenzi zinatesa sana.
Kuna mdada mmoja tulikuwa wapenzi na uhusiano wetu huo wa kimapenzi ulianza 2009, kwa bahati mbaya au nzuri mi ndiyo niliyekuwa...
Wandugu,
Thread hii ni mahususi kwa chochote unachokumbuka enzi unasoma shule ya msingi.
Mimi binafsi nakumbuka enzi zile nasoma Issale primary school kule wilayani Mbulu miaka ya 1986-1991...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.