Habari wakubwa,
Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine.
Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri.
Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range...
HAKUNA MTETEZI WA MASIKINI, JITETEE KWANZA WEWE MWENYEWE
Na Comrade Ally Maftah
Kuna habari za watu kusubiria watetewe na wengine, jiondoe kwenye akili ya hivi, elewa kama kuna mtu amekutetea...
Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi...
Evidence Is Now Appearing Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash WAS an Assassination
MAY 20, 2024
The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a...
Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant
Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
Full name: Manchester City Football Club
Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues
Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and...
Sidhani kama mh James Mbatia naye ana mtazamo huo wa Lyatonga wa miaka ile maana anataka kuhamia Chadema lakini anasitasita
Ni vema Chadema wakasajili Wanachama wapambanaji watakaoendana na...
Wadau hamjamboni nyote?
Niwape pole Ndugu zangu
Kwa sisi watu wa hali ya kawaida na Imani tofauti naomba wajuzi mnijuze utaratibu wa kutoa salaam za rambirambi/ pole na kushiriki mazishi ya...
Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.