Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari Wakuu! Hali ni tete. Maji ya shingo pûa kwenye Ukingo wa maji. Wanawake wengi huku mtaani wanapumulia mashine. Ingawaje wanajitutumua làkini hakuna matumaini ya kuchomoza, Kula kwa jasho...
4 Reactions
24 Replies
182 Views
Wakuu Heshima mbele. Usiku huu nimetoka kuongea na Polisi mmoja Kanda ya kusini na ana cheo. Anasema hivi Polisi kwa sasa wana mkongo wao, hivyo maombi yanafanyika katika vituo vikubwa vya...
1 Reactions
4 Replies
50 Views
Wana MMU kuna historia nyingine za Mapenzi zinatesa sana. Kuna mdada mmoja tulikuwa wapenzi na uhusiano wetu huo wa kimapenzi ulianza 2009, kwa bahati mbaya au nzuri mi ndiyo niliyekuwa...
1 Reactions
129 Replies
16K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka Ziko wapi? Zilifika salama...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
  • Sticky
Wandugu, Thread hii ni mahususi kwa chochote unachokumbuka enzi unasoma shule ya msingi. Mimi binafsi nakumbuka enzi zile nasoma Issale primary school kule wilayani Mbulu miaka ya 1986-1991...
12 Reactions
420 Replies
77K Views
Hebu tuwe serious! Hivi hawa wavuta bangi ndiyo wawe ndiyo brand ya mkoa? Hehehe! Ahaa!
8 Reactions
21 Replies
235 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
106 Reactions
685 Replies
24K Views
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na...
4 Reactions
17 Replies
332 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
518K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,524
Posts
49,665,233
Back
Top Bottom