Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao, Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
2 Reactions
22 Replies
401 Views
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali...
12 Reactions
35 Replies
1K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
72K Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
16 Reactions
98 Replies
3K Views
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma...
16 Reactions
80 Replies
3K Views
Mwimbaji Harmonize amesema May 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambayo ameipa jina la ‘Muziki wa Samia’. Inasemekana Harmo ambaye...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
29 Reactions
1K Replies
39K Views
Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka Ziko wapi? Zilifika salama...
2 Reactions
3 Replies
4 Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
169 Reactions
201K Replies
11M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,479
Posts
49,663,731
Back
Top Bottom