Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi.
Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo...
Mzuka Wanajamvi!
Wanajamvi nakuja kwenu kuwaomba mnisaidie kuchagua kati ya haya majina niliyoyaoroshesha ni lipi? Nataka kubadilisha majina. Nataka tu moja kutoka kwenye hii orodha chini.
1...
HIvi mtu anatokaje asubuhi hajapiga mswaki,kuoga,kuvaa nguo safi?
Yani unakuta mtu anaingia kwenye gari ananuka kikwapa mdomo makalio mpaka mtu unaogopa kukaa nae.
Hii kitu huwa inankwaza sana...
KITUO CHA MABASI MWENGE
Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni
Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023
Ufadhili:fedha za ndani
Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja.
Gharama ya...
Habari wapendwa,
Naomba kwa wale wanandoa mnisaidie hapa kama ni kawaida kwa wanandoa ama ni nini? Namshukuru Mungu tulipata kuoana na mume wangu, kweli maisha ni mazuri tunafurahia ndoa yetu na...
Ndugu zangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde. Sasa mke wangu huwa hapendi japo nilisha...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Peace,
Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.