Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho.
Hadi sasa bado haijajulikana kwanini...
1. Dk. Ben Carson alisema, "Nilitatizika kimasomo katika shule yote ya msingi lakini nikawa daktari bingwa wa upasuaji wa neva duniani mwaka wa 1987." SOMO: Kupambana ni ishara kwamba uko kwenye...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Salaam, Shalom!!
Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na...
Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi.
Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.