Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
Kiufupi Kwa Sasa tumefika mahala ambapo dizi hizi tulizoletewa zimekuwa chambo ya kuwapumbaza watu wenye akili ndogo na kuwafanya mafukara.
Mda umefika Sasa zipigwe marufuku Ili watu wajikite...
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
Abadni sitapingana na vitabu vitakatifu ambavyo vinaamini uwepo wetu katika dunia ni wenye lengo la kumuabudu mungu,quran inasema sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa waniabudu.
Binafsi...
Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa watu wasio elewa wataona ni...
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.
Maria mamake ni...
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi.
Dickson Lucas Matata
Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.