Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jamiiforum ikigeuzwa ya mizaa mda sio mrefu itapuuzwa kuna social media nyingi sana zilivamiwa na watu wa mizaa soon zikapuuzwa hata jamiiforum ndo inapoelekea kuwa kijiwe cha watoto KAMA HUNA...
3 Reactions
32 Replies
224 Views
Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini...
2 Reactions
16 Replies
82 Views
Habari za Harakat za Maisha Wana forum. Mimi ni kijana WA Miaka 32 3 months ago nimekutana na demu, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikapata UTI nimekunywa flucamox mara 2, bila nafuu...
26 Reactions
379 Replies
19K Views
Kunya ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kunya ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na...
0 Reactions
2 Replies
18 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
0 Reactions
12 Replies
233 Views
Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho...
3 Reactions
48 Replies
366 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,854,529
Posts
49,633,912
Back
Top Bottom