Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
0 Reactions
3 Replies
38 Views
Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na...
6 Reactions
25 Replies
839 Views
Walio karibu na huyu jamaa embu wamuangalie au wamshauri aachane na SIMBA, familia yake imshauri aachane nao..hawaoni kama anawehuka hivi? Huyu jamaa anaanza kuwehuka flani hivi yote hii kwa...
5 Reactions
17 Replies
364 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
0 Reactions
8 Replies
175 Views
Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!! Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa...
1 Reactions
22 Replies
353 Views
Habari JF, Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania...
27 Reactions
163 Replies
10K Views
Kwa mtazamo bila kwenda mbali nikwamba Islael kashindwa vita! alichobaki nacho ni War Madness! Amebaki kupiga huko na huku akiua watu wasiyo na hatia akidhani anawaua watesi wake kitu ambacho...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wazaliwa wa Zanzibar wanapenda sana kujiita wazanzibari ila Wazaliwa wa Tanganyika wanakatazwa na wazazinzibar kutukuza Utanganyika. Marais wote wamekuwa wakijiita watanzania isipokuwa awamu hii...
0 Reactions
2 Replies
48 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,495
Posts
49,633,147
Back
Top Bottom