Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Salaam , Shalom!! Angalizo: Jiepushe kuandika kejeli au upuuzi juu ya maneno ya unabii huu, maana maneno haya, yametoka katika kinywa Cha Mungu kupitia kinywa Cha Nabii wake, Ili kujiepusha na...
1 Reactions
3 Replies
327 Views
Niliwahi kufanya interview na mmiliki wa hizi chuma. Full confidence/misifa Kama yote. Nn kimetokea? Uchawi? Alilewa sifa? Customer care? Nchi nyingine hawa wafanyabiashara husaidiwa maana...
16 Reactions
167 Replies
15K Views
Hii 👇 ni tukio la Leo 📍Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu. NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI...
8 Reactions
77 Replies
1K Views
Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo. 1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Upagani Wapagani wanaabudu Asili Wanashikamana na miongozo ya kidini inayofuata mambo kama vile majira, matukio ya asili, Jua, Mwezi, na vitu vingine vya anga. Kuna mungu na miungu mingi ya aina...
4 Reactions
13 Replies
590 Views
Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika. Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha Pm...
4 Reactions
13 Replies
554 Views
Naombeni ushauri, Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake...
4 Reactions
46 Replies
923 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nape Nauye waziri wa Habari na Mawasiliano amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika...
1 Reactions
23 Replies
318 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,101
Posts
49,622,989
Back
Top Bottom