Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Habar wanajukwaa mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo no kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa Sina wazaz naombeni mnisaidie jamani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
MV Bukoba ilikuwa moja ya meli kubwa katika ziwa Victoria. Ilikuwa ina uwezo wa kusafirisha watu zaidi ya 400 na tani zaidi ya 100. Meli hii ilikuwa ikiondoka Bukoba siku za Jumatatu, Jumatano na...
23 Reactions
277 Replies
76K Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
- NBA imetangaza leo kwamba mlinzi wa Cleveland Cavaliers Donovan Mitchell ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa Wiki wa Kanda ya Mashariki kwa Wiki ya 12 (michezo iliyochezwa Jumatatu, Januari 2, hadi...
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu...
1 Reactions
5 Replies
154 Views
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana . Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana. Mwanamke akikupenda...
10 Reactions
56 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu akana Israel kuangusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran asema kama ingetaka kulipiza kisasi Kwa Iran Kwa shambulio waliloishambulia Israel Kwa kuwarushia...
25 Reactions
126 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
9 Reactions
90 Replies
988 Views
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao. Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
14 Reactions
169 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,848
Posts
49,674,696
Back
Top Bottom