Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua.
Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa...
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .
Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.
Mwanamke akikupenda...
Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO..
Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza.
Kwa mujibu wa World Health...
Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani ndani ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na wimbi kubwa la kuenea kwa taka za chupa za plastiki za rangi hasa zinazotokana...
PLN 0001 2BR
Ramani ya Vyumba Viwili
Living room (Sebule)
1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C)
1 Single bedroom
Kitchen (Jiko)
Public toilet (Choo cha jumuiya)
Ramani hii ina privacy...
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi amewataka wabunge kutofumbia macho vitendo vya ushoga na usagaji vinavyoendelea kushika kasi nchini na kushauri bunge kutunga...
Wanajamvi,
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku Chunya, Mbeya.
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.