Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kila nikijaribu ku - install app ambazo sio za play store zinakataa na nakutana na huo ujumbe , naomba namna ya kufanya, mf. Snaptube, you tube go nk
0 Reactions
7 Replies
69 Views
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
3 Reactions
84 Replies
1K Views
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
44 Reactions
170 Replies
5K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Salaam wana JF, kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hz kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia cz life huku...
2 Reactions
21 Replies
125 Views
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana . Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana. Mwanamke akikupenda...
9 Reactions
42 Replies
828 Views
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha. Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
8 Reactions
1K Replies
41K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Hellow wanachit chat Mi mgalikoko , ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat? Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them? Mbona mimi sijawahi bahatika kutajwa...
1 Reactions
2 Replies
8 Views
Tutafute jina letu wenyewe ambalo litasadifu utaifa wetu. Na hata majukumu ya ofisi yake yasiwe yawe ya kiuongozi tu (yasiwe ya kidini). Kama taifa muda umefika tuwe na mtu ambaye anaweza...
0 Reactions
4 Replies
41 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,795
Posts
49,672,598
Back
Top Bottom