Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao. Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
10 Reactions
79 Replies
589 Views
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana . Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana. Mwanamke akikupenda...
9 Reactions
44 Replies
828 Views
Hakuna asiyemjua nguli huyu aliejipambanua kwa umahiri kwenye medani za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Tundu Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa utetezi...
7 Reactions
20 Replies
272 Views
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako. Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia. Hapa...
16 Reactions
88 Replies
1K Views
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
3 Reactions
87 Replies
1K Views
Hivi nyie makampuni ya simu hasa Airtel mnajitambua kweli? Nampigia muhudumu wa wateja anapokea ananiambia sikusikii , mwengine anapokea anajitambusha akimaliza haongei. Hivi mnajua naweza...
0 Reactions
11 Replies
374 Views
Habari zenu Watanzania, Jamani mfumo wa maisha umebadilika sana tupo ulimwengu wa Technolojia ya hali ya juu. Sababu ya kuandika uzi huu imetokana na kupokea habari ya msiba ya aliekuwa rafiki...
6 Reactions
18 Replies
234 Views
Habari wakuu Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri plz
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kila nikijaribu ku - install app ambazo sio za play store zinakataa na nakutana na huo ujumbe , naomba namna ya kufanya, mf. Snaptube, you tube go nk
0 Reactions
7 Replies
69 Views
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
44 Reactions
170 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,795
Posts
49,672,598
Back
Top Bottom