Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

A
Anonymous
Kata ya Nyamanoro Mkoani Mwanza wamekuwa wakiendesha kampeni ya kufunga maduka na kuchukua waliopo Madukani, hilo linafanyika kama unakuwa hujalipa Service Levy. Hili suala sijui limetoka wapi na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji...
0 Reactions
1 Replies
62 Views
Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi...
4 Reactions
53 Replies
767 Views
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar. Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
4 Reactions
7K Replies
201K Views
Basi Yesu akazibinua Meza za Walanguzi na kusema " Nyumba Yangu ni mahali pa Sala LAKINI Nyie mmeifanya kuwa Pango la Wanyang'anyi" Mwenye masikio na Asikie Neno Kristo anayaambia Makanisa Mungu...
17 Reactions
60 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Some people are just lucky sio kwamba eti wametoka kwenye familia tajiri au yenye kusapotiana au nchi iliondelea au labda ni juhudi zao, hapana au ni wezo mkubwa wa kiakili, ni basi tu kila...
3 Reactions
9 Replies
81 Views
Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika...
0 Reactions
6 Replies
87 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao. Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
10 Reactions
69 Replies
453 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,769
Posts
49,671,871
Back
Top Bottom