Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa wale wenye exp UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana. KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana...
11 Reactions
86 Replies
3K Views
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
23 Reactions
208 Replies
7K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Nimekuwa nikiwasikia watu wanaojiita "Madaktari" pamoja na watu wanaojiita "Wataalamu wa lishe" wakizungumza au wakitoa ushauri wa namna ambavyo...
2 Reactions
9 Replies
90 Views
Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi...
15 Reactions
136 Replies
4K Views
Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji...
0 Reactions
5 Replies
80 Views
Ninaomba msaada wa kuelekezwa kutoka kwa yeyote kutoka Jamiiforums. Mimi ni mwanahisa wa Swissport na bahati mbaya nilipoteza cheti changu muda mrefu uliopita na sijapata gawio langu sasa yapata...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Evidence Is Now emerging Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash WAS an Assassination MAY 20, 2024 The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a...
11 Reactions
120 Replies
3K Views
  • Suggestion
Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo...
7 Reactions
39 Replies
272 Views
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai. Akizungumza...
1 Reactions
23 Replies
181 Views
Habari zenu ndugu zangu, Nauza Kabati la milango mitatu, Mninga mixer mbao ngumu kwa 350,000 tu! Mawasiliano ni 0626753305
0 Reactions
12 Replies
222 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,784
Posts
49,672,314
Back
Top Bottom