Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
3 Reactions
92 Replies
1K Views
Hellow wanachit chat Mi mgalikoko , ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat? Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them? Mbona mimi sijawahi bahatika kutajwa...
1 Reactions
3 Replies
8 Views
Wakuu habari, samahani ivi inawezekana kubadilisha majina baadhi kwenye nida ili iendane na vyeti vya shule kwa uharaka yaani muda mchache, mfano kwenye vyeti nilikuwa natumia, ROMAN J ROMAN...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana . Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana. Mwanamke akikupenda...
9 Reactions
51 Replies
828 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Wakuu salaam, Hakika hii itabakia katika kumbukumbu zangu,nimejalibu kufupisha tiririka nayo. Katika harakati zangu za kazi nilifanikiwa kupata dili flani niliingiza pesa yakutosha nilimtembelea...
67 Reactions
180 Replies
31K Views
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako. Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia. Hapa...
16 Reactions
90 Replies
1K Views
Facts- Biblia ni kitabu cha kale zaidi dunaini zenye zaidi miaka 3000 licha ya kuwa kitabu cha imani lakini kimeba historia ya mambo ya kale kwa usahihi kabisa,ushahid wa kihistoria nje biblia...
1 Reactions
7 Replies
78 Views
Wadau hamjamboni nyote? Huu ni Uzi maalumu Kwa watu maalumu na walio makini kutupa uzoefu wa orodha ya matukio mbalimbali yakiyohusisha adhabu walizopata wale waliokusudia kuwadhuru Waisrael...
1 Reactions
2 Replies
86 Views
Wivu kwa maana rahisi ni kutojiamini muda wote unahisi kuna watu wenye sifa zaidi yako watakuibia mpenzi wako, Wivu hukoleza mapenzi. Kutojiamini ni wivu uliopitiliza kiasi yaani muda wote...
0 Reactions
2 Replies
39 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,795
Posts
49,672,598
Back
Top Bottom