Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
1 Reactions
141 Replies
8K Views
Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho...
3 Reactions
54 Replies
613 Views
Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wanajukwaa. Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada. Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya...
5 Reactions
25 Replies
342 Views
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
8 Reactions
71 Replies
713 Views
Wakuu habari za muda huu. Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara...
5 Reactions
59 Replies
2K Views
Wakuu swalama? Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele? 1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule...
4 Reactions
43 Replies
817 Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Wakuu Heshima mbele. Juzi nilikuwa natokea PWANI nikakumbuka kwamba sikuwahi kuchukua cheti changu cha kidato cha sita. Sasa nilikuwa na mama watoto, nikamwambia sababu muda umeenda kesho...
4 Reactions
14 Replies
176 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,585
Posts
49,635,417
Back
Top Bottom