Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu
.
Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo.
Taarifa ile ilimtaka MIIKKA...
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
Wakuu,
Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?
Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance)
NAkaribisha ushauri...
Khabarini wana jukwaa.
Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa;
Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo....
Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.