Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
NAJUA MTATUCHOKA LAKINI HAKUNA JINSI NDIO YANGA TAMU TUNAOMBA TUKICHEZA NA DODOMA TUALIKWE HATA NJE TU BUNGEN TUPATE CHAI NA SPIKA NA PONGEZI ZENU
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
4 Reactions
172 Replies
3K Views
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja Bunge limepoteza mvuto kabisa Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge Nakumbuka kabla ya bunge Kuwa la chama kimoja Wakati huu wa bunge la bajeti...
2 Reactions
14 Replies
332 Views
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
7 Reactions
133 Replies
3K Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
15 Reactions
252 Replies
2K Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
17 Reactions
63 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,336
Posts
49,629,158
Back
Top Bottom