Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
12 Reactions
101 Replies
2K Views
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Unaambiwa huko ccm kila Jini na kiti wake, Yaani kila Shetani na Mbuyu wake. Noma kweli! Ushahidi huu hapa
1 Reactions
7 Replies
209 Views
Hey pals it's len again, I know ni usiku lakini nataka kushare hi experience, I'm going through series of heart breaks right now and if I ever fail in life it's not me Iam failing but my beloved...
4 Reactions
52 Replies
435 Views
Mambo vipi wanandugu. Nimekaa na kutafakuri Sana. Hizi ndoa ambazo hazidumu huwa ni laana tupu. Kama Baba yako mzazi alimuacha mama yako akaenda kuoa mke mwingine basi tambua hiyo laana...
5 Reactions
36 Replies
441 Views
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi...
7 Reactions
34 Replies
883 Views
Nimepita mitaani leo watu wako "attention" kusikiliza nini kitatokea kwenye kamati kuu ya CHADEMA, na wengine wanasema mbona kamati inachelewesha kutoa maaximio yake. Kwa kweli Chadema hongereni...
7 Reactions
35 Replies
885 Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
30 Reactions
320 Replies
6K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views

FORUM STATS

Threads
1,854,293
Posts
49,627,991
Back
Top Bottom