Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja
Bunge limepoteza mvuto kabisa
Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge
Nakumbuka kabla ya bunge
Kuwa la chama kimoja
Wakati huu wa bunge la bajeti...
Katika Ukurasa wake wa tweeter Mhe David Kafulila ameandika haya:-
************************************
"Kwasasa Umuhimu wa kutumia nishati mbadala hauna mbadala,
Tanzania sasa ni...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
Moja Kwa Moja kwenye points aisee hivi karibu idadi kubwa ya masingle mama imeongezeka Kwa Kasi ya ajabu kila nitakae piga nae story Moja mbili hivi anasema yeye yupo single na anawatoto tu...
Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama...
Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.