Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha...
Hiki kisiwa kikiboreshwa vema kinaweza kuwa mbadala wa Zanzibar japo hakiwezi kuwa kama Zanzibar.
Kina fukwe kubwa na nzuri, Kina utalii wa majini Utalii wa mashambani ni muhimu tujivunie na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nape Nauye waziri wa Habari na Mawasiliano amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika...
Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo.
Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha
Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake...
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
Shalom,
Tuunduiz Lissua myopia hawazungumzii haya mazito
Nasikitika kusema kwamba mambo ya muungano yalikuwa 22 na hakuna kikao halali cha Bunge la muungano kimeondoa baadhi ya mambo ya...
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k.
KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.