The Banking system of Cuba has reportedly collapsed.
Cubans are reporting via Social Media all their money is gone from their accounts, and all Automated Teller Machines (ATM's) have been emptied...
Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo, isiopokuwa tu wao umri huo hufanya kwa kuiga tu, hufanya bila kujua ni kwa nini anafanya...
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa...
Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh "
Nikinukuu baadhi ya verse
" Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe "
Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse...
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza.
Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka...
Au Tatizo ni Elimu
Nilitegemea wawe serious wanapopata Fursa za Kuwahoji Viongozi wa Serikali lakini inakuwa Kinyume kabisa na zaidi utakuta wao ndio wanaulizwa maswali
Enzi za Adam Lusekelo au...
Wakati Lissu anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi...
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa;
Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo....
Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu
1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.