Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi
Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za...
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye...
Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana...
WANASEMA IMANI N KUWA NA UHAKIKA WA MAMBO YATARAJIWAYO N BAYANA YA MAMBO YASIOONEKANA
DAH NNINA DADA YANGU KAOLEWA KAMA MWEZ UMEPITA JANA KAPIGA MUMEWE KAHAMISHIWA DODOMA....
HAPO TUNA MWINGINE...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu habari, naombeni msaada wenu, iko ivi kuna manzi niko nae, ex wake alichukua simu ya manzi wangu na kuni block kwenye calls za kawaida, yaank nikipiga au manz akicheki simu zinakuwa zinakata...
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:-
Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo?
Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
Najua wengi itakua ngumu kunielewa.
Huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana. Hivi hamjiulizi kila siku anaropoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.