Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeima leo bungeni kulikuwa na robot linalokarubisha wabunge. Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi? Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye...
0 Reactions
9 Replies
85 Views
Salaam, Shalom!! Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Nimelazimika kuuliza swali Hilo hapo juu baada ya...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
14 Reactions
77 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Khabarini wana jukwaa. Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
27 Reactions
429 Replies
14K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
18 Reactions
43 Replies
548 Views
Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu...
2 Reactions
28 Replies
300 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,355
Posts
49,629,810
Back
Top Bottom