Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
0 Reactions
26 Replies
311 Views
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa...
4 Reactions
29 Replies
288 Views
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto...
15 Reactions
35 Replies
790 Views
Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
2 Reactions
32 Replies
655 Views
Tukisema, ukristo umevamiwa na manabii na mitume wa uongo, watu tuwe tunaelewa. Hawa wameletwa makusudi na shetani, wamepewa nguvu za miujiza na shetani, na kujivika vazi la “ulokole” wakati wao...
3 Reactions
4 Replies
163 Views
Habari zenu ndugu zangu? Ninauza TV mbili za inch 32 Brand Hisense na PS3 moja. TV moja ni 200,000 nakupa na Wall Bracket pamoja na HDMI Cable. Ps3 nakuuzia kwa 250,000 ina magemu yote mazuri...
0 Reactions
4 Replies
103 Views
Ni vyema tukajulishana vitu vichache vichache ila vina umuhimu mkubwa. Wanaume mnao tarajia kuingia katika ndoa au mliopo katika ndoa changa msiweke expectations kubwa sana ndani ya ndoa kwamba...
2 Reactions
5 Replies
76 Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
8 Reactions
134 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Historia ya kweli kumuhusu Simba karatasi huko umakondeni. Mnamo miaka ya mwisho ya 80 hadi katikati ya miaka ya 90, huko kusini mwa Tanzania paliwahi kuwepo ndui aliyesumbua kwa kipindi kirefu...
1 Reactions
10 Replies
129 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,252
Posts
49,626,548
Back
Top Bottom