Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
41 Reactions
267 Replies
6K Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
11 Reactions
79 Replies
1K Views
Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
1 Reactions
5 Replies
65 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu, naomba kuuliza hivi wanaleta lini mwendokasi maeneo haya? Ahsanteni sana.
0 Reactions
2 Replies
31 Views
Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of...
14 Reactions
21 Replies
3K Views
Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse...
7 Reactions
63 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato...
1 Reactions
5 Replies
63 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Historia ya kweli kumuhusu Simba karatasi huko umakondeni. Mnamo miaka ya mwisho ya 80 hadi katikati ya miaka ya 90, huko kusini mwa Tanzania paliwahi kuwepo ndui aliyesumbua kwa kipindi kirefu...
4 Reactions
27 Replies
352 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,296
Posts
49,628,069
Back
Top Bottom