ANAANDIKA BICHWA KOMWE:-
Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo?
Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti...
Kwa mujibu wa mtandao wa Score 90 wametoa kikosi chao bora cha muda wote katika soka. Unakubaliana nao, kama hukubalianai nao nani anatakiwa awepo kikosini?
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc...
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
Google wametangaza maboresho ya kupunguza wizi na kulinda data pale simu inapoibiwa. Baadhi zitakuja na Android 15 na baadhi zitakuja kwenye Android kuanzia 10 kwa kupitia update ya Play...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.