Nina Mifi router ya tigo, inaitwa HOME INTERNET
Sasa nataka kuconnect na laptop yangu
Nifanye configuration Ili niweze kutumia WIFi
Msaada Kwa mtu ambae ana router kama hii tafadhari.
Najua wengi itakua ngumu kunielewa.
Huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana. Hivi hamjiulizi kila siku anaropoka...
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza.
Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka...
Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya Kikao Maalumu na Viongozi wa Dini lengo ikiwa kuhusisha kundi hilo...
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu
.
Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo.
Taarifa ile ilimtaka MIIKKA...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.