Ulemavu ni hali ya mtu kuwa na upungufu kimwili ambao hufanya iwe vigumu kufanya shughuli kulingana na mazingira yanayomzunguka. Kuna aina nyingi za ulemavu kama usikivu hafifu, ulemavu wa viungo...
Leo ndio nimeamini
Member wengi humu jf
Wanaumwa na afya ya akili
Ni kwanini nasema hivi
Ni kwasababu jambo la ujinga ndio linashabikiwa sana kuliko jambo lenye mantik
Muda mwengine...
Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki aliewahi kuwa producer wa...
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”.
Sasa Humo Bungeni anafanya nini?
Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
Naombeni ushauri,
Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake...
Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa machachari David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022.
Ndoa hiyo...
Historia ya kweli kumuhusu Simba karatasi huko umakondeni.
Mnamo miaka ya mwisho ya 80 hadi katikati ya miaka ya 90, huko kusini mwa Tanzania paliwahi kuwepo ndui aliyesumbua kwa kipindi kirefu...
Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.