Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
12 Reactions
97 Replies
1K Views
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa, Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa...
12 Reactions
51 Replies
1K Views
Nenda mitandao Yote utamkuta Upendo Peneza Ndio anajadiliwa LAKINI Leo kuna Hotuba muhimu sana ya Bajeti ya Wizara ya Habari na Tehama ila wadau hawajaichangamkia Naomba Wakuu hapa JF tuelekeze...
1 Reactions
4 Replies
80 Views
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi...
13 Reactions
78 Replies
2K Views
Oya wanajamvi, Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop, oy muwachane TU kama hawana mpango wa kuajiri...
9 Reactions
32 Replies
562 Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
13 Reactions
56 Replies
1K Views
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa...
11 Reactions
80 Replies
1K Views
Napigwa bit kwa kuhisi kua nataka kuwasiliana na mama yake mtoto nikiwa na mke wa sasa.. Vipi huko mwenzangu? Imekua kesi, yaani sipati wasaa wa kuongea na dogo kwa sasa ana miaka 4. Toka niachane...
8 Reactions
54 Replies
802 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
89 Reactions
541 Replies
17K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,284
Posts
49,627,817
Back
Top Bottom