Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
"Bodaboda ni kero hatusemi kwamba vijana wetu wasijiajiri kwa kuendesha bodaboda, lakini askari wako pale wakati taa ni nyekundu wao ndiyo wanapita wale vijana ni nguvu kazi ya Taifa wanagongwa...
kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini...
Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na...
Salaam, Shalom!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.