Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi
Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake...
Khabarini wana jukwaa.
Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye...
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.