Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau hamjamboni nyote? Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo...
13 Reactions
96 Replies
4K Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
15 Reactions
208 Replies
2K Views
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
127K Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
1 Reactions
118 Replies
6K Views
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
6 Reactions
67 Replies
874 Views
Je ni; 1: Juhudi, Maamuzi na Muda 2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa) 3: Bahati (ngekewa) 4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa) 5: Mapenzi na Kibali cha Mungu 6...
0 Reactions
9 Replies
86 Views
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
7 Reactions
90 Replies
4K Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
5 Reactions
239 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,230
Posts
49,626,005
Back
Top Bottom