David Kafulila anawaza kurudi bungeni baada yakukaa benchi kwa muda mrefu. Anawaza kurejea kwenye ulingo wa siasa baada ya CCM kumficha kwenye majukumu yasiyo ya kisiasa.
Lakini mbinu anazotumia...
Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;
1...
Na Yericko Nyerere
Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
Walio karibu na huyu jamaa embu wamuangalie au wamshauri aachane na SIMBA, familia yake imshauri aachane nao..hawaoni kama anawehuka hivi? Huyu jamaa anaanza kuwehuka flani hivi yote hii kwa...
Mbunge Alexia Kamguna: Bodaboda ni Kero Wanapita Kwenye Taa, Askari Wanasema Bodaboda Wamewashinda
"Bodaboda ni kero hatusemi kwamba vijana wetu wasijiajiri kwa kuendesha bodaboda, lakini askari...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.